Meneja Masoko wa TBL Tanzania Bw.Joseph Chebehe akizindua kinywaji kipya cha FYFES WHISKY katika hotel ya Mt.Meru jijini Arusha
Meneja wa Brand ya Tanzania Distilleries Limited kampuni tanzu ya Tanzania Breweries Limited ambayo ni sehemu ya
kampuni mama ya SABMiller Group Bi.Martha Bangu akiwakaribisha wageni wageni katika uzinduzi wa FYES WHISKY
Muonekano wa FYFES WHISKY
Kampuni
ya Tanzania Breweries Limited (TBL) imezindua kwa mara ya kwanza
kinywaji ambacho kinatokana na malighafi halisi ya Whisky ya Scotch
kutoka katika vilima vya Uscotchi huko Scotland ambayo itasambazwa
nchini Tanzania na Tanzania Distilleries Limited ijulikanayo kwa jina la
FYFES WHISKY
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia