Mwenyekiti
wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye ukumbi wa NEC
Dodoma ,akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
tayari kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu
ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye ukumbi wa NEC ,Makao Makuu ya
CCM Dodoma.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Dk.Maua Abeid Daftari akijadiliana jambo na mjumbe
mwenzake Samia Suluhu Hassan muda mfupi kabla ya kikao cha Kamati Kuu
ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa hakijaanza kwenye ukumbi wa NEC mjini
Dodoma.
Katibu wa NEC Oganizesheni Dk.Mohamed Seif Khatibu akizungumza na Mjumbe
wa Kati Kuu ya CCM DK. Salim Ahmed Salim ndani ya ukumbi wa mkutano wa
White House kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Wajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM wakijadiliana kabla ya kuanza kwa kikao kwenye
ukumbi wa NEC mjini Dodoma, kutoka kushoto ni Profesa Anna Tibaijuka,
Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Zakia Meghji na Katibu wa NEC Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba akizungumza na Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu
ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Dodoma.(Picha na Adam
Mzee)