Ticker

6/recent/ticker-posts

TASWIRA YA UZINDUZI WA KIKAO CHA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EALA) LILIVYOANZA JIJINI DAR ES SALAAM

Wabunge wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mahsriki (EALA) wakifuatilia hotuba ya Spika wa Bunge hilo Dk. Margaret Zziwa wakati wa ufunguzi wa kikao cha kwanza wa Bunge la tatu la EALA ulioanza leo ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika ya Mashariki(EALA) , Dk. Margaret Zziwa akisoma hotuba yake ya ufunguzi.
Spika wa Bunge la Tanzania, Anna Makinda (kulia) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kwanza wa Bunge la tatu la Jumuia ya Afrika Mahsriki (EALA) lililoanza kikao chake Karimjee Dar es Salaam jana. Kulia ni Spika wa EALA, Magreth Zziwa.
Wabunge wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mahsriki wakishiriki katika Bunge hilo hii leo.
 mawaziri kutoka Nchui wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki  (EAC ) pamoja na Katibu Mkuu wa EAC, Dk. Richard Sezibera ( wa tatu kushoto) wakiwa ndani ya bunge hilo
 Wabunge wakiwa mjengoni
 Wabunge wakibadilisha mawazo ya hapa na pale wakati wa mapumziko.
 Wageni wakiwa Bungeni humo.
 Picha ya pamoja ya wabunge wa EALA.
Waratibu wa Bunge hilo kutoka Ofisi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipiga picha ya pamoja.
Picha ya pamoja na wageni maalum wa Spika.

Post a Comment

0 Comments