Ticker

6/recent/ticker-posts

JOHSTONE NA NOELA WALIVYO MEREMETA


Johstone Frank Maunda akimvisha pete mkewe kipenzi Noela Julian Kaigwa katika ibada takatifu iliyofanyika Agosti 23, 2014 katika Kanisa la MT. Albano Dar es Salaam. Ndoa hiyo ilifuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Coco Beach. 
 Johstone Frank Maunda na mkewe Noela Julian Kaigwa wakifuatilia mahubiri ya ndoa yao.
 Noela Julian Kaigwa akirembwa Salon
Noela Julian Kaigwa akimtengeneza msimamizi wake Tumaini Magdalena Libaba walipokuwa Salon.












Post a Comment

0 Comments