Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Moshi ,Christopher Martin maarufu kama "Mbe"akihakiki hundi kabla ya kukabidhiwa rasmi. |
Makamu mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Moshi ,Chris Martin akikabidhi hundi iliyotolewa na kampuni ya Megatrade kwa katibu wa klabu ya Gofu ya Moshi Mohamed Nkya. |
Viongozi wa Kabu ya Gofo ya Moshi wakiwa katika picha ya pamoja na Staff wa kampuni ya Megatrade muda mfupi baada ya kukabidhi hundi ya kiasi cha shilingi milioni 3.5. |
Makamu mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Moshi ,Chris Martin akimuonesha uwanja utakaotumika kwa mashindano hayo Meneja Mauzo wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd kanda ya kaskazini ,Edmund Rutaraka |