SERENGETI FIESTA NDANI YA MOSHI YAFUNIKA BALAA YAANI NI SHEEEEEDAH CHEKI APA


32

shaaa ni miongoni mwa Wasanii waliokua wanasubiriwa kwenye stage ya Serengeti Fiesta 2014 hapa Moshi show iliyofanyika August 30 ambapo staa huyu  alipanda kwenye stage na dancers wake watatu wa wawili wa kike  na kukonga sana nyoyo za washabiki kwa jinsi walivyokuwa tumia viongo vyao vyema kwa kucheza.feza kessy akifanya mambo
 
Waimbaji wengine wa kike waliochukua mic kwenye stage ni pamoja na feza kessy msanii ambaye aliwahi kuwakilisha  ,Tanzania kwenye BBA 2013,wengine ni  Maua na Recho. 
 
  IMG_5394IMG_5347IMG_5346IMG_5331IMG_5316IMG_5237IMG_5235IMG_5225IMG_5208IMG_5186IMG_5184IMG_5150IMG_5133Fid Q na Staminafezza Kessi akiimba kwa hisia

IMG_5506 
IMG_5499
IMG_5498 
IMG_5491
IMG_5474 
IMG_5468
IMG_5452 
IMG_5444 
IMG_5437
IMG_5430 
IMG_5521 
IMG_5534
Mapacha 
Maua Sama
Nay wa Mitego na  Stamina 
Nickson
Producer Lamar akiwarusha mashabiki wa moshi kwa ngoma za Refix alizo zirudia 
Reho ingia katika Steji ya fiesta Moshi
Roma 
Shaa mama wa Sugua gaga
Stamina
Watu walijitokeza kwa wingi
Ally Kiba

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.