MWENGE WA UHURU WAZINDUA TANKI LA MAJI LA MUWSA.
Posted by
woinde
on
Friday, August 22, 2014
in
Habari
MATUKIO
|
|
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi, MUWSA wakiwa
katika eneo la Longuo A wakijiandaa kupokea Mwenge. |
|
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi, MUWSA
wakijaribu kupoza njaa kwa ndizi baada ya kungojea Mwenge kwa muda. |
|
Mwenyekiti
wa bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira
mjini Shally Raymond akiteta jambo na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo
Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati wakingojea ujio wa Mwenge. |
|
Mwenyekiti
wa bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira
mjini Shally Raymond akitoa maelekezo baada ya kuwanunulia ndizi
wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi
(MUWSA). |
|
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi na Mazingira Mjini Moshi wakiongozwa
na mkurugenzi wao Mhandisi Cyprian Luhemeja (wa kwanza) |
|
Mkurugenzi
wa MUWSA Mhandisi Cyprian Luhemej akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya
kufika katika eneo la Longuo ambako ulmezindua tanki la Maji. |
|
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini
Moshi ,MUWSA wakishiriki kupokea Mwenge wa Uhuru ulipotembelea eneo
hilo. |
|
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge kitaifa ,Rachel Kassanda akikata utepe kuashiria
uwekaji wa jiwe la Msingi katika tanki la Maji la Longuo A. |
|
Jiwe la Msingi katika tanki la Maji la MUWSA. |
|
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akifungua maji kuashiria
kuanza kutumika kwa maji yanayotka katika tanki la Maji lililozinduliwa. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akibeba maji baada ya kuzinduliwa kwa tanki la Maji la Longuo A. |
|
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akimtwisha ndoo ya Maji
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa
Mazingira mjini Moshi Shally Raymond. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akiotesha mti katika eneo lililopo Tanki la Maji la Longuo A. |
|
Mkuu wa wilaya ya Mwanga Shaibu Ndemanga akiotesha mti katika eneo hilo. |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiotesha mti katika eneo hilo. |
|
Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ,Shaban Ntarambe akiotesha mti katika eneo hilo. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa MUWSA,Shally Raymond. |
|
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akizungumza mara baada ya
kuzindua tanki la Maji pamoja na uoteshaji wa miti katika eneo hilo . |
|
Tanki la Maji lililozinduliwa. |
|
Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akibeba Mwenge wa Uhuru, |
|
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi akibeba mwenge wa Uhuru, |
|
Mmoja wa wafanyakazi wa MUWSA kibeba Mwenge kwa niaba ya wenzake. |
|
Wafanyakazi wa MUWSA wakapata fursa ya kupiga pucha na Mwenge wa Uhuru. |
|
Mwenge wa Uhuru ukiendelea kukimbizwa katika maeneo mengine ya Mkoa wa Kilimajaro. |
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia