Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Maonesho ya kilimo ya nane nane
kitaifa mwaka huu katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja
vya Ngongo yanapofanyika maonesho ya Kilimo ya nane nane kitaifa Mkoani
Lindi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo katika banda la Benki kuu ya Tanzania BOT katika
maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya
Ngongo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo katika banda la sekta ya Afya katika maonesho ya kilimo
ya nane nane kitaifa yanayofaanyika Mkoani Lindi katika viwanja vya
Ngongo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Dk.Geoffrey Mkamito Mtafiti wa Mazao ya
Mizizi, katika banda la Bodi ya Korosho katika maonesho ya kilimo ya
nane nane kitaifa yanayofaanyika Mkoani Lindi katika viwanja vya Ngongo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara na Masoko Numwagile
A.Mwaijumba wa Shirika la Nyumbu kuhusu mashine ya utengenezaji wa
matofali ya udongo katika maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa
yanayofaanyika Mkoani Lindi katika viwanja vya Ngongo.