PICHA MBALIMBALI ZA MH NASSARI AKIWA MAREKANI KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA DOGO WA AFRIKA ULIOANDALIWA NA RAIS OBAMA
bywoinde-
0
picha mbalimbali zikionyesha mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki Mh Joshua Nassari akiwa na viongozi mbalimbali waliouthuria katika mkutano wa viongozi wadogo wa Afrika ulioandaliwa na rais wa marekani Barack Obama