Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Fimbo Buttallah akimkabidhi zawadi Waziri wa Habari, Utamaduni na
Michezo Dr. Fenella Mukangara wakati wa chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Castle Lager kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na
wadau wa soka nchini. Makocha hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha
wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza |