kinara wa matukio ya kigaidi na ulipuaji wa mabomu hapa nchini anayetafutwa na jeshi la polisi

'Sensei' Yahaya Hassan Hella pichani kinara wa matukio mbalimbali ya uripuaji wa mabomu hapa nchini ambaye jeshi la polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vinamtafuta huku serekali ikitangaza dau kwa mtu atakeyetoa taarifa zake (picha na mahmoud ahmad wa globu ya jamii Arusha)

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post