KUNDI LA 'BAD NUMBERS' NDIYO MABINGWA WA SERENGETI DANCE LA FIESTA 2014 MKOA WA MWANZA

Mc Lugha Kali (aliyeketi) akiwatambulisha washindi wa shindano la Dance la Fiesta kwa mkoa wa Mwanza ambao ni Kundi la Bad Numbers (wenye red) lenye maskani yake Igoma jijini Mwanza ambapo kundi hilo limejinyakulia kitita cha shilingi milioni moja toka kwa wadhamini Serengeti.
Washindi wa shindano la Dance la Fiesta kwa mkoa wa Mwanza ambao ni Kundi la Bad Numbers lenye maskani yake Igoma jijini Mwanza ambapo kundi hilo limejinyakulia kitita cha shilingi milioni moja toka kwa wadhamini Serengeti.
Hawa ndiyo majaji wa Dance La Fiesta 2014 Mwanza, kutoka kushoto ni Producer D. Classic, Adam Mchomvu, Dickson George aka Lugha Kali na mkali toka EX studio.
Wakifanya yao hawa ndiyo washindi wa shindano la Dance la Fiesta kwa mkoa wa Mwanza ambao ni Kundi la Bad Numbers (wenye red) lenye maskani yake Igoma jijini Mwanza ambapo kundi hilo limejinyakulia kitita cha shilingi milioni moja toka kwa wadhamini Serengeti.
Wadau waliojitokeza kutia macho kinyang'anyiro cha Dance La Fiesta kilichofanyika jana Club Jembe jijini Mwanza.
Dj K-Flip toka Club Jembe akitoa ushirikiano.

Wow...Mashabiki wakiwa na kiu ya kujua nani mkali.
Shangwe kwa kizuri kinapofanyika.
Tanicando wakifanya yao ndani ya shindano la Dance la Fiesta 2014 mkoa wa Mwanza ambapo wakali hawa waliinyakua nafasi ya pili.
Young Kids toka mitaa ya Uhuru Kati.
Max toka kwa majaji.
The area.
Tanicando wakiwasikiliza majaji na pointi zao.
Jaji namba moja Adam Mchovu (C) akitoa maksi kwa washiriki.
The area.
Mapozi mengine dah...hii kweli yaitwa iga ufe.
Pembe tano.
AAAaaaU!!
Wakijadili yao Dj Fetty (L) na Dickson George aka Lugha Kali.
Wakiyainjoy waadhari ya Jembe Beach kutoka kushoto ni Producer Lolly Pop na kulia ni prizenta wa Passion Fm Philbert Kabago.
Wasanii wa Rock City wakishow love na G. Sengo Blog.
The Thing....!!
'Vitu vya Michael Jackson'
Eh bana eee kama ni utalii si ndiyo huu!! Haya ndiyo mazingira ya Jembe Beach toka Ziwa Victoria ... ambapo leo (Ijumaa) usiku mahala hapa kutakuwa na Bonge la Pre party ya marafiki kuikaribisha Serengeti Fiesta 2014 ambayo rasmi itafanyika kesho (Jumamosi) uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post