WAZIRI LAZARO NYALANDU AHIMIZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA UTALII.


  1. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akitoa maelezo ya kina kuhusu fursa za uwekezaji katika tasnia ya utalii wa Tanzania wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani.
  1. Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani.
  1. Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi. Devota Mdachi akifafanua kwa kina fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani.
  1. Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini Bi. Julieth Kairuki akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani.
  1. Meza Kuu ya Wazungumzaji katika Kongamano la kuvutia wawekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani. Kutoka Kushoto ni Mwezeshaji Bw. Kamran Khan; Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu; Waziri wa Uchukuzi Mhe. Harrison Mwakyembe; Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Bi. Devota Mdachi na Uwekezaji nchini lililofanyika
  1. Rais Jakaya Kikwete ambaye alikuwa Mzungumzaji Mkuu katika Kongamano la kuvutia wawekezaji nchini lililofanyika jana Washington DC, Marekani. Wengine pichani kutoka kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post