BREAKING NEWS AJALI YA BASI TENA YA MABASI YATOKEA,MUHEZA MABASI YAGONGANA USO KWA USO

Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa wamegongana uso kwa uso maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu.haijafahamika ni abiria wangapi wamedhulika kwenye ajali hii.Chanzo cha ajali pia bado hakijafahamika   na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa taarifa zaidi.hivyo tuendelee kuvuta subira.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia