REDIO 5 WAANDAA HAFLA YA LISHE BORA MONDULI

Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akifungua
hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini
Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades
formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA
KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli

Meneja
masoko wa Redio 5Bi.Sarah Keiya akizungumza katika hafla ya lishe bora
iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na
wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish
Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika
hospitali ya wilaya ya Monduli

Mganga
mkuu wa hospitali ya wilaya ya Monduli Zavery Benela akizungumza
katika Hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini
Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades
formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA
yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli
Katibu
mwenezi ambaye pia ni diwani wa kata hiyo Isack Joseph maarufu kwa
jina la kadogoo akizungumzia hafla hiyo ambapo aliwapongeza waandaaji
kwa kuweza kuandaa shughuli kama
hiyo ambayo itasaidia jamii kupata elimu juu ya lishe bora hali
itakayopelekea wao kuepuka magonjwa mbalimbali
Taswira
katika halfa Hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha
jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort
Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya
LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli

Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo

Meneja
mbunifu wa redio 5 Vicky Mwokoyo kulia,katikati meneja biashara Angela
Maina wakiwa wanamkabidhi vifaa vya
upimaji magonjwa kwa mganga mkuu wa hospitali ya wilaya Monduli Zavery
Benela iliyotolewa na kampuni ya Tan Communication Media inayo
miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha

Kulia Semio Sonyo na Yacub Simba watangazaji wa redio 5 wakiwa
wanafatilia elimu juu ya lishe bora
Mkurugenzi
wa
Tan
Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake
makuu jijini Arusha Bw Robert Francis akiwa anapata vyakula vya mboga
mboga kwa afya


Mtafiti kutoka Horti Tengeru Silvest Samali akiwa anaongea katika hafla hiyo

Wadau wakiwa wanafatilia

Afisa kilimo Arusha DC Bi.Lucy Mvungi akiwa anaelezea umuhimu wa kula mboga za majani kwa afya
Mratibu wa lishe Bi.Aisha Msangi akiwa anatoa elimu
katika hafla hiyo ambapo alisema kuwa lishe bora ni ile yenye mlo kamili kwa maana ya wanga,protini ,mafuta,vitamini na madini
Hapa wadau wakiwa wanapatiwa elimu ya namna ya kutengeneza supu ya maboga
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akiwa anapata chakula cha mboga mboga




0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia