MOUNTI MERU WORRIUS,U-23 WAINGIA ROBO FAINALI



mlinda mlango wa timu ya Mounti meru worrius akiwa anavua viatu mara baada yakupewa kadi nyekundu na kutoka nje


kocha madaraka bendera akiendelea kutoa somo kwa wachezaji wake


Apo wachezaji wa U-23 wakiwa wamemkaba mchezaji wa Arusha


kikosi cha maunti meru worrius wakiwa wanafanya dua


kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka U-23 wakifanya dua wakati ya mechi yao ya mwisho ya wao pamoja na Mounti Meru worrius ambapo walitoka sare ya bao 1-1


Kocha wa timu ya Mounti meru worrias Madaraka Bendera akiwapa maelekezo wachezaji wake katika kipindi cha mapumziko

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia