WANAHABARI WASHEREKEA MIAKA 20 YA UHURU WA HABARI
rais wa muungano wa vyombo vya habari Tanzania Keneth Simbaya akitoa mada kwa waandishi wa habari
baada ya sherehe watu wakaanza kubadilishana mawazo hapa ni Inkonko akibadilishana mawazo na david
Muwakilishi wa PPF akitoa mada kuhusiana na shirika hilo
DR.Diodurus Kamala akiongea na waandishi wa habari katika sherehe hyo.
waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja kwenye sherehe za miaka 20 za uhuru wa vyombo vya habari iliyofanyika katika hotel ya golden rose jijini Arusha
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia