ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI WALIPOTEMBELEA
mfanyaki wa Mounti meru flowers akichambua maua mazuri mara baada ya kuyatoa shambani
Mmoja wa wafanyakazi akibeba maua yaliyotelewa wakati wakisafisha shamba
mkurugenzi wa Mounti meru flower akitoa maelekezo kwa waandishi wa habari
mkurugenzi mtendaji wa Tanzania Horticalture Acosiotion(TAHA) Jackiline Mkindi akitoa maelekezo kwa waandishi wa habari wakati walipotembelea shamba la maua la Mounti meru flower lilipo nje kidogo ya mji wa Arusha.
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia