WAGENI WA MKUTANO WA UTALII WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO

 Wageni wakiwa wanaangalia bidhaa zinazotengenezwa na wamasai zilizopo ndani ya hifadhi ya ngorongoro
 waandishi nao hawapo nyuma kuanunua apo mkaka akiwa anachagua zawadi ya asili hii yote kudumisha utalii wa ndani
 wageni ambao ni wazawa wa Tanzania wakiwa wanapata maelezo kuhusiana na hifadhi ya ngorongoro

 wamama wa kimasai wakiwa wamemuunga mkono mdada wa libeneke kucheza ngoma ya kimasai

 wageni wakiwa wanaangalivitu mbalimbali vya asili
Hii ndio baiskeli ambayo inadaiwa mtafiti Dkt,Yoshiharu Sekino wa asili ya kijapani alitumia kutembelea nayo hadi Tanzania



 wageni wakipewa ramani nzima ya hifadhi ya ngorongoro
 picha ya juu na chini muonekano wa hotel ya serena iliyopo manyara

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia