NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI,ANGELA KAIRUKI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO JUU YA TUHUMA MBALIMBALI ZA ARDHI ZILIZOIBULIWA BUNGENI HII KARIBUNI.

Naibu waziri a Ardhi ,Nyumbana Maendeleo na Makazi,Angela Kairuki akiongozana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama wakati  alipowasili Kilimanaro kwa ajili ya tuhuma dhidi ya mkuu huyo wa mkoa pamoja na migogoro ya ardhi.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama katika mkutano huo.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akizungumza katika mkutano huo uliowashirikisha wakuu wa wilaya,kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,maafisa ardhi ,madiwani pamoja na wananchi wa kawaida.
Baadhi ya viongozi pamoja na watumishi wengine walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidss Gama akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo,Anthony Tesha akitoa taarifa juu ya kiwanja kilichotolewa kwa waweezaji na halmashauri hiyo kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha saruji.
Mkurugenzi wa Halamshauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akitoa ufafanuz juu ya mgogoro wa kiwanja kinachomilikiwa naaliyekuwa mbunge wa jimbo la Vunjo ,Aloyce Kimaro.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia