WAZIRI WA KILIMO ,CHAKULA NA USHIRIKA STEPHEN WASIRA AZURU MKOA WA KILIMANJARO NA ARUSHA KUOMBA KUDHAMINIWA


wa kwanza kushoto ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira; akiwa ndani ya ofisi za CCm mkoa wa kilimanjaro wakati alipoenda kuomba kuthaminiwa na wananchi  ili kuweza kupata nafasi ya kugombea nafasi ya Urais kati kati ni mwenyekiti wa mkoa wa kilimanaro Deogratius  Luta kulia ni katibu wa ccm mkoa huo Idd Juma Mohamed



Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akiwa anaongea na mmoja wa kada wa ccm aliyejitokeza kumdhamini

 waziri wakilimo na ushirika Stephen Wasira akiwa anaongea na wananchi waliojitokeza kumthamini katika mkoa wa Arusha,picha na woinde shizza

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia