USIKOSE KUANGALIA KIPINDI HIKI KIPYA KIZUZI NDANI YA TBC 1, KIPINDI KINACHOJULIKANA KWA JINA LA ' Nyumbani Na Diaspora'

Nyumbani na Diaspora!

Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani
na walio nje ya mipaka yetu. Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha
Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu
mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa. Ni kipindi kitakachoongozwa na
mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid
Mjengwa. Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada
mbalimbali kwenye masuala ya  kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Ni kila siku
ya Ijumaa saa 4 usiku na marudio Jumapili saa kumi jioni, hapa hapa TBC 1,
ukweli na uhakika!

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia