VYAMA VYA WAONGOZA WATALII NA WAPAGAZI TANZANIA WATOA SIKU 30 KWA SERIKALI KUSHUGHULIKIA MADAI YAO.
![]() |
| Baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi. |
![]() |
| Katibu wa KGA ,James Mong'ateko akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
| Wajumbe wengine wa vyama vinayofanya shughuli za utalii katika hifadhi za taifa ikiwemo mlima Kiliamanjaro. |
![]() |
| Mwanasheria wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) Elikunda Kipoko akitoa ufafanuzi wa kisheria katika mkutano huo. |
![]() |
| Mmoja wa wajumbe katika mkutano huo akichangia hoja juu ya kusudio la kutaka kuhitisha mgomo kwa lengo la kudai maslahi yao. |












0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia