NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ,ANGELA KAIRUKI ATEMBELEA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)MKOA WA KILIMANJARO
![]() |
| Ofisi za Shirika la Nyumba la Taifa mkoani Kilimanjaro. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro. |
![]() |
| Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro ,Sheakh Kombo akizungumza wakati akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. |
![]() |
| Naibu Waziri,Kairuki akifurahia jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro,Sheakh Kombo. |
![]() |
| Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakzi wa shirika la nyumba la taifa mkoa wa Kilimanjaro. |
![]() |
| Baadhi ya nyumba za NHC zilizoanza kufanyiwa ukarabati. |
![]() |
| Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akikagua nyumbaza NHC zinazofanyiwa ukarabati zilizoko eneo la Rau. |
![]() |
| Naibu Waziri Kairuki akizungumza jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro ,Sheakh Kombo. |













0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia