Wanawake wajasiriamali halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru
wamekiri na kuthibitisha kuwa mikopo mingi inayotolewa na taasisi za
fedha kuumiza wajasiriamali wadogo na kusababisha kushindwa kuendelea na
biashara kutokana na masharti magumu ya mikopo hiyo.
Wajasiriamali hao wamesema hayo wakati wa mafunzo ya siku moja
yaliyotolewa na Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa vikundi vya wanawake na
vijana vilivyokidhi vigezo na kutegemea kupata mikopo mapema wiki ijayo
yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa mikutano Halmashauri ya Arusha.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
RELATED POSTS
0
Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia