WATANZANIA WAWILO WAKAMATWA CHINA WAKIWA NA KETE 129 ZA DAWA ZA KULEVYA


Watanzania wawili, Baraka Malali na mkewe Ashura Musa wamekamatwa nchini China wakiwa wamemeza kete 129 za dawa za kulevya wakiwa na mtoto wao wa miaka 2 na miezi 9 ambaye amerudishwa nchini leo. Baraka alikuwa amemeza kete 47 na Ashura kete 82.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia