KIONGOZI MKUU WA CHAMA TAIFA ZITTO KABWE akiwa anawahutubia wananchi wa iringa hii leo katika uwanja wa mwembetogwa
MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA ANNA MGHWIRM, akiwa ananongea na wananchi wa Iringa |
burudani mbalimbali pia zilikuwepo katika mkutano huo
umati wa watu waliouthuria katika mkutano wa ACT- wazalendo uliofanyika mjini Iringa
WABUNGE wametakiwa kuacha porojo nyingi na badala yake kuwaeleza wananchi wao nini wamefanya katika kipindi chao cha uongozi
hayo yamesemwa leo na kiongozi mkuu wa chama cha ACT-wazalendo Zito Kabwe wakati akiwahutubia wananchi wa mjini Iringa katika mkutano wa hazara uliofanyika katika viwana vya mwembetogwa
Alisema kuwa huu ni muda muafaka wa kila mbunge kuwaeleza wananachi wake nini amewafanyia na sio muda wa kuanza kutupiana namaneno na porojo nyingi .