BREKING NEWS !!!!!!!!!!!!!!!!!!!! MSANII MUNGINE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA
KWA HABARI zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa msanii muigizaji ambaye anatambulika kwa jina la John Stephano amefariki dunia asubui ya kuamkia leo akiwa amelazwa katika hospitali ya muhimbili kwa ajili ya matibabu
msanii huyu ameshaigiza filamu mbalimbali ikiwemo ya mrembo kikojozi pamoja na nyingine nyingi
kwa taharifa zaidi tutawajuza baadae
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia