VODACOM YAICHANGIA HOSPITALI YA CCBRT SH. BILIONI NANE


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakionesha cheki ya Shilingi bilioni Nane iliyotolewa na Kampuni ya VODACOM kwa ajili ya ujenzi wa hospitali maalumu itakayo shughulika kutibu wanawake walioathirika na Ugonjwa wa Fistula pamoja na ulemavu mwingine.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe.Janet Mbene,Mkurugenzi Mtendaji VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza,Ofisa mtendaji Mkuu Hospitali ya CCBRT Bwana Telemans Erwin na kulia ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik(picha na Freddy Maro ikulu)

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia