RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAKUTANA NA VIONGOZI WA MATAWI YA CCM UGHAIBUNI (DIASPORA) MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na mkewe
mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa
matawi ya CCM
ughaibuni (Diaspora) waliowaalika kwa chakula
cha mchana Ikulu ndogo mjini Dodoma Jumatano Novemba 14, 2012. Viongozi
hao kutoka Marekani, Italy, India, Uingereza
Afrika kusini na India walihudhuria katika Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM uliomalizika juzi Kizota.

0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia