Anne Makinda Azungumza na Waandishi wa Habari Kuhusu mkutano wa 34 wa 'Southern Africa Development Community Parliamentary Forum' (SADC PF) unaotarajia kuanza Oktoba 21 hadi 24, jijini Arusha

 

Spika
wa Bunge, Anne Makinda, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jana kuhusu mkutano wa  34 wa 'Southern Africa Development Community Parliamentary Forum' (SADC PF) unaotarajia kuanza Oktoba 21 hadi 24, jijini Arusha, ambapo unatarajiwa kuhudhuliwa na washiriki  150 kutoka katika nchi 12 za Afrika. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa wa Bunge, Jossey Mwakasyuka. Na Mpigapicha Wetu

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia