MUME AMUUA MKEWE KWA KIPIGO
Balozi wa eneo hilo ambako Bi Rahima alifariki.
Taarifa za
awali kutolewa zinasema kuwa mwanamke huyo alifariki kutokana na homa,
lakini ndugu wa marehemu wamedai kuwa kifo cha ndugu yao
kimetokana na
kipigo. Bi Rahima ambaye alikuwa ni mja mzito, alifariki mwezi wa saba
mwaka huu.
Taarifa
za awali ambazo zilifikia Wanawake Live na Super Woman Joyce Kiria
kufuatilia zilionekana kupita EATV usiku wa jana, na pia unaweza
kufuatilia kwenye YouTube kupitia linki hii hapa chini ili ufahamu kile
wanasheria wamekizungumza katika kutafuta haki kufuatia suala hili
ambalo hata viongozi w a kijiji hicho wameshindwa kulitatua.
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia