FIESTA MAJENGO MOSHI HAWAKUTOSHA IIKUWA FULU SHAGWEEEEEEEEEEEEEEE

Mkali wa bongofleva anaefanya vyema kwenye muziki huo,akitambulika kwa jina la kisanii Ney wa Mitego akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu kwenye wakati wa tamasha la serengeti fiesta likiendelea kwenye uwanja wa Majengo,mjini Moshi.
Mwanadada Linah akimpagawisha shabiki wake vilivyo jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013,kwenye uwanja wa Majengo mjini Moshi
J Martins naye alikuwepo kweli ilikuwa noma sana.
Mwanadada aliyewahi kufanya vyema kwenye shindano la BSS,Menina akiimba kwa hisia jukwaani

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia