MBUNGE GWAJIMA AITIKIA WITO WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE JIJINI DODOMA

 

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima akiwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia wito wa Mhe. Spika Job Ndugai wakumtaka kufika mbele ya   kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kujibu tuhuma mbali mbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma,

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima akipita kwenye mashine kwa ajili ya ukaguzi wakati alipowasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia wito wa  Mhe. Spika Job Ndugai   ya kufika mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma mbali mbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma,

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima akisindikizwa na Maaskari wa Bunge wakati alipowasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia wito wa  Mhe. Spika Job Ndugai  wa kufika mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma mbali mbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma,

   

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima akiwa mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wakati alipoitikia wito wa Mhe. Spika Job Ndugai uliomtaka kufika mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma mbali mbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 23, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About woinde

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia