Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bi. Mamta Murthi, Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Maendeleo ya Watu walipokutana makao makuu ya Benki hiyo jijini Washington DC, Marekani. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE Bi. Christine Hogan.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bi. Mamta Murthi, Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Maendeleo ya Watu walipokutana makao makuu ya Benki hiyo jijini Washington DC, Marekani. Kulia ni
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE Bi. Christine Hogan.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Watumishi wa Taasisi hiyo katika Makao Makuu ya GPE yaliyopo katika Ofisi za Benki ya Dunia, jijini Washington DC, Marekani.
Tags
HABARI MATUKIO