JK AWASILISHA UJUMBE WA RAIS SAMIA KWA RAIS MUSEVENI WA UGANDA LEO JIJINI KAMPALA



Pembenzoni mwa Mkutano wa Uongozi wa Afrika wa nane jijini Kampala Uganda leo, Mheshimiwa  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kama mjumbe maalum, amewasilisha ujumbe maalum kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. 



Rais Museveni alimshukuru kwa ziara na kumuomba amfikishie salamu zake kwa Mheshimiwa Rais Samia na watu wa Tanzania.matukio habari

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post