BREAKING NEWS SPIKA WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AMWAGWA CHINI

 
Aliekuwa Spika wa Bunge  la jumuiya ya Afrika mjashariki ,Magreth Zziwa Nantongo leo amepigwa chini mara baada ya wabunge wa bunge hilo kupiga kura za kumkataa kuendelea kukalii kiti hicho

kwa mujibu wa taarifa za awali tulizozipata zinasema kuwa spika huyo amemwagwa chini hivi leo kutokana na kikao cha wabunge hao kilichokuwa kikiendelea katika ukumbi wa jengo la makao makuu ya jumuiya hiyo yaliyopo apa arusha

taarufa zinasema kuwa spika huyo amemwagwa kutokana na tuhuma mbalimbali ambazo zinamkabili na inadaiwa katika kikao hicho cha kumwagwa kwa spika huyo kulikuwa na jumla ya wabunge 39 ambapo 36 walimpigia kura za awamtaki huku wabunge 2 wakiwa wanamkubali

habari kamili tutawaletea endelea kufuatilia woindeshizza blog

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post