Serikali imetengua uteuzi wa
Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano
kupisha uchunguzi, kutokana na kubainika kuchangia kuvurugika kwa
uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti iliyoibua madudu yaliyofanyika
katika uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema uamuzi
huo pia umeridhiwa na Rais Jakaya Kikwete. Mhe. Ghasia amewataja
halmashauri ambazo wakurugenzi hao waliotenguliwa uteuzi wao kuwa ni
za Mkuranga, Kaliuwa, Kasulu, Serengeti, Sengerema na Bunda,
waliosimamishwa kazi ni wakurugenzi wa Hanang', Mbulu, Ulanga, Kwimba
pamoja na wa Manispaa ya Sumbawanga. Waziri Ghasia amesema kuwa
Wakurugenzi wengine watatu wapewa onyo kali, ambao ni wa Rombo,
Busege na Muheza na wengine watatu wakipewa onyo la kawaida,
wakurugenzi hao ni wa Manispaa Ilala, Hai na Mvomero.
Serikali imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na
kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana na
kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa,
uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti iliyoibua madudu yaliyofanyika
katika uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema uamuzi huo pia
umeridhiwa na Rais Jakaya Kikwete.
Mhe. Ghasia amewataja halmashauri ambazo wakurugenzi hao waliotenguliwa
uteuzi wao kuwa ni za Mkuranga, Kaliuwa, Kasulu, Serengeti, Sengerema na
Bunda, waliosimamishwa kazi ni wakurugenzi wa Hanang', Mbulu, Ulanga,
Kwimba pamoja na wa Manispaa ya Sumbawanga.
Waziri Ghasia amesema kuwa Wakurugenzi wengine watatu wapewa onyo kali,
ambao ni wa Rombo, Busege na Muheza na wengine watatu wakipewa onyo la
kawaida, wakurugenzi hao ni wa Manispaa Ilala, Hai na Mvomero.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
WAKURUGEZI WATANO WASIMAMISHWA KAZI KATIKA SAKATA LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
WAKURUGEZI WATANO
WASIMAMISHWA KAZI KATIKA SAKATA LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Serikali imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na
kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana na
kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa,
uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti iliyoibua madudu yaliyofanyika
katika uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema uamuzi huo pia
umeridhiwa na Rais Jakaya Kikwete.
Mhe. Ghasia amewataja halmashauri ambazo wakurugenzi hao waliotenguliwa
uteuzi wao kuwa ni za Mkuranga, Kaliuwa, Kasulu, Serengeti, Sengerema na
Bunda, waliosimamishwa kazi ni wakurugenzi wa Hanang', Mbulu, Ulanga,
Kwimba pamoja na wa Manispaa ya Sumbawanga.
Waziri Ghasia amesema kuwa Wakurugenzi wengine watatu wapewa onyo kali,
ambao ni wa Rombo, Busege na Muheza na wengine watatu wakipewa onyo la
kawaida, wakurugenzi hao ni wa Manispaa Ilala, Hai na Mvomero

Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia