MAULID YA KUMPONGEZA BI. ZAHRA MUHIDIN MICHUZI YAFANA SANA

Ankal akimpongeza Binti yake Zahra wakati wa hafla ya Maulid ya Kumpongeza baada ya kulamba Nondozz yake ya kwanza ya Biashara na Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dodoma hivi karibuni.Hafla hii imefanyika jana Nyumbani kwa Kaka wa Ankal,Tabata Kimanga jijini Dar es salaam.

Baba Mkubwa wa Zahra,Ismail Michuzi akiongoza dua ya kuwakumbuka ndugu waliotangulia mbele ya haki kabla ya shereha ya Maulid ya kumpongeza Binti Zahra alielamba Nondozz yake ya Biashara na Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dodoma, hivi karibuni. Kulia ni Ankal.
 Zahra akijumuika na Mashangazi zake katika Maulid hiyo
 Vijana wa Madrasa wakitoa burudani kwa Qaswida mwanana kabisa.
 Ankal akisikiliza Jambo kutoka kwa Kaka yake,Macheka.
 Dufu zikipigwa.
 Ankal akiwatunza vijana wa Madrasa.
 Vijana wa Madrasa wakiimba Qaswida kwa ustadi mkubwa.
 Zahra na Mama zake wadogo.
 Msimamo wa Qiyam.
 Shangwe zatawala.
 Binti wa Ankal,Zahra Muhidin Michuzi akiwa kaketi kwenye kiti chake tayari kwa kupongeza kwa kulamba Nondozz yake hiyo.
 Ankal na Dada yake,Bi. Ndonya

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia