NASSARI AWAPA DARASAWENYEVITI WAPYA WA MITAA
Mbunge
wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wenyeviti wapya wa
mtaa pamoja na wajumbe waliochaguliwa kwa tiketi ya CHADEMA katika
Wilaya ya Arumeru Mashariki katika semina iliyoandaliwa na Mbunge huyo
ya kuwahamasisha kuwatumikia wananchi ilifanyika katika ukumbi wa
Usariver Academy leo.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia