Aisha Madinda - enzi za uhai wake alipokuwa stejini
Aisha Madinda - enzi za uhai wake akitambulishwa na Ally Choki alipojiunga na Extra Bongo
ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na
kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali
ya Mwananyamala, Dar.
Kujua matukio na stori mbali mbali alizowahi kupitia msanii huyu maarufu Bongo na kuripotiwa na mtandao huu, nenda hapa