MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA MJINI KATIKA KATA YA SOMBETINI
Wednesday, October 27, 2010
Mgombea ubunge wa tiketi ya chama cha mapinduzi Dr.Batilda Buriani anayefuata kushoto ni mgombea udiwani wa kata ya Sombetini Alifonsi Mawazo akicheza na wananchi nyimbo za chama
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia