![]() |
Wasanii Ben Pol na Jux wakishirikiana kuimba wimbo wao NAKUCHANA kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro |
![]() |
Country Boy akiimba na maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika Tamasha la Tigo Fiesta |
![]() |
Rich Mavoko akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Morogoro mapema usiku wa kuamkia jumatatu. |
![]() |
MimiMars akiimba katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jumatatu mkoani Morogoro. |
![]() |
Barnaba akitumbuiza kwa maelfu ya mashabiki waliojitokeza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta mkoani Morogoro. |
![]() |
NedyMusic aktumbuiza katika jukwaa la Tigo fiesta mapema juzi katika viwanja vya Jamhuri mkoani Dodoma. |
![]() |
Nandy akiburudisha wakazi wa Morogoro katika Tamasha la Tigo fiesta mapema juzi katika viwanja vya Jamhuri |
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia