Ticker

6/recent/ticker-posts

MKUU WA WILAYA YA MONDULI IDDI HASSAN AKIZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA UWEZESHAJI WA WANAWAKE KIUCHUMI

 Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Monduli Rose Mhina  akifafanua jambo katika uzinduzi wa jukwaa la Uweshaji wa Wanawake kiuchumi
 Mkuu wa Wilaya ya Monduli Iddi Hassan akizungumza katika uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji wanawake Kiuchumi Ambalo lilihudhuriwa na wanawake kutoka kila kata ya Wilaya hiyo.
Viongozi wa Wilaya wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wakiwa kwenye mkutano


Post a Comment

0 Comments