MFUMO WA MAPENZI ULIVO KWA MWANAMKE

 

SEHEMU YA 2: MFUMO WA MAPENZI ULIVO KWA MWANAMKE


Katika suala zima la mapenzi mwanamke anakua na hatua zifuatazo. Ifahamike kwamba mwanamke anaweza kupitia hatua hizi zote kwa hatua hatua au hizi hatua zikawa zinapishana au kukutana au kuzipata kwa pamoja. Wako badhi ya wanawake ambao hawapitii hatua hizi au hupata hatua moja au mbili tu


HAMU/NYEGE (DESIRE); Hii ni hatua ya kwanza na muhimu sana katika suala zima la msisimko wa mapenzi kwa mwanamke.katika hatua hii kunakua na mabadiliko  ya vichocheo vya dopamine na serotonin ambazo huhusika kwa kiasi kikubwa katika fisiolojia ya mapenzi kwa mwanamke;Hali hii inaweza kudumu kwa dakika kadhaa hadi saa 3 au 4, Katika hatua hii mwanamke mwanamke anaweza akawa anapata mambo kama :-


Chuchu kua ngumu ngumu na kutekenya tekenya


Chuchu kusimama

Kuhema haraka haraka

Matiti kujaa jaa na uke kutuna au kuvimba kwa ndani

Mashavu ya ndani kujaa au kuvimba

Kinembe kusimama

Mapigo ya moyo kwenda mbio mbio au kwenda kasi

Kua na mzuka na misuli kama inakaza kaza fulani hivi

Joto la mwili kupanda panda na kupata jasho jasho la raha

 MSISIMKO (AROUSAL): Katika hatua hii mwanamke anazidi kua na hamasa zaidi ya tendo la ndoa,hatua hii ndo inayomfanya mwanamke kua na hisia kali na msisimko huu ndo hupelekea mwanamke kufika mshindo au kukojoa. Hatua hii huja kwa kasi sana na ndo huchochea furaha ya tendo la ndoa. Katika hatua hii mwanamke anakua na hali au na mambo yafuatayo


Misuli kukaza kaza ambayo huanzia miguuni halafu usoni na baadae mikononi


Mapigo ya moyo na kuhema kwa kasi huzidi kuongezeka


Uke unajaa au kivimba na hubadilika randi na kua mweusi



Mwanamke anakua na hamasa zaidi na hutamani mwanaume aongeze kusukuma au mahaba 


Kinembe huzidi kujaa,kurefuka,kutuna na hata kuuma kinapoguswa

HATUA YA TATU


KUFIKA MSHINDO,KUKOJOA (ORGASM); Hii ndo hatua ambayo mwanamke hupata raha zaidi anapokua anafanya mapenzi. Ndo hatua ambayo anakua amefika kileleni. Kwa kweli hatua hii hua ni nzuri  sana na ya kuburudisha mwili wa mwanamke lakini hatua hii hudumu kwa muda mfupi sana,yaani ni ktendo cha sekunde kadhaa tu. Katika hatua hii mwanamke ambae amekojoa atakua na hali zifuatazo


Kutoa sauti kali sana na kali


Kumkumbatia mwenza wake kwa nguvu sana


Kukamaa mwili mzima mithili ya mtu aliepata kifafa


Kujingata au kumgata mwenza wake,hii sio kwa ubaya ni hali ambayo inakua nje ya uwezo wake na ni kwa sababu ya raha


Kutokwa na jasho la raha mwili mzima


Mwakamke kurusha ugiligili ambao kama uume ukiwa umetolewa utaona inaruka kama shahawa za mwanaume zinavokua zinaruka


Uke kukaza,kubana na kua wa moto zaidi


Kuhisi kama umepigwa na shoti,mwili kuchoma choma,kusisimka hata kwa mguso kidogo tu wa mwenza wako--mwanamke huzidi kujiona wa thamani zaidi na huzidisha msisimko na upendo kwa mwenza alie nae


HATUA YA NNE


BAADA YA KUKOJOA(RESOLUTION); katika hatua hii hali zote ambazo mwanamke alikua nazo katika hatua za awali huanza kuisha na mwili kurudi katika hali yake ya mwanzoni. Katika hatua hii mwanamke hujisikia vizuri,mwili unatulia,hupata uchovu uchovu wa mwili. Baadhi ya wanawake wanaweza kurudia hali ya kukojoa haraka endapo msisimko ukiendelezwa na kama atakojoa basi anaweza kukkojoa vingi vingi kwa mpigo

.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post