Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na maathimisho ya miaka ya 63 ya uhuru matembezi hayo yameanzia katika Round about ya Impala yanayofanyika Leo
Mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda akiongea na watumishi wa Mungu pamoja na wananchi kabla ya kuanza Kwa matembezi na maombi maalum ya kuombea mkoa wa Arusha na maathimisho ya miaka ya 63 ya uhuru matembezi hayo yameanzia katika Round about ya Impala yanayofanyika Leo