MIICO YAENDELEA KUELIMISHA JAMII KUHUSU ARDHI NA KUHAMASISHA UJASIRIAMALI
Na Woinde Shizza , Mbeya Shirika la MIICO limeendelea kuimarisha ustawi wa wazalishaji wadogo katika mikoa ya nyanda za juu kusini kwa kuwajengea uwezo katika masuala ya ardhi, ujasiriamali na uendelezaji wa masoko. Hatua hii inalenga kuongeza kipato, kupunguza migogoro ya ardhi na kuimarisha usalama waContinue Reading >