HUDUMA ZA AFYA ZAZIDI KUIMARIKA MKOANI ARUSHA

  Serikali imeendelea kuboresha huduma za afya kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya mama wajawazito na vifo vya mama na mtoto hali iliyochagizw...
Read More

RWEBANGIRA AFUNGUA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA UCHAGUZI NGAZI YA MKOA NA JIMBO WA MIKOA YA RUKWA NA KATAVI

  Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena Rwebangira leo Tarehe 21 Julai, 2025 amefungua mafunzo kwa Watendaji wa Uchaguzi n...
Read More

TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAWATAKA WARATIBU, WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KUZINGATIA MAELEKEZO, KUACHA MAZOEA

Mkurugenzi wa uchaguzi INEC Ramadhan Kairima alisema jumla ya washiriki 165 kutoka Halmashauri 24 za Mikoa mitatu wanapatiwa mafunzo hayo ye...
Read More

WATENDAJI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 WAFUNDWA

  Na. Mwandishi wetu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewaasa watendaji wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kufanya kazi kwa kuzingatia Katiba, S...
Read More

KAMISHNA MSAIDIZI WA UHIFADHI ALIYETEULIWA NA BODI YA WADHAMINI TANAPA AAPISHWA

  Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji, ameongoza hafla ya kumuapisha rasmi Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi - Cecilia Mtanga l...
Read More

MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS SAMIA KUONGOZA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI KUU YA CCM JULAI 19

 MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS SAMIA KUONGOZA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI KUU YA CCM JULAI 19
Read More

ZAIDI YA WATAALAMU 700 WA RASILIMALIWATU KUKUTANA ARUSHA

  Jiji la Arusha linajiandaa kupokea zaidi ya wataalamu 700 wa usimamizi wa rasilimaliwatu na utawala kutoka taasisi mbalimbali za umma nchi...
Read More

“Vinywaji vyenye kemikali hatari kwa afya – Dkt Kazoba”

Na Woinde Shizza , Arusha   Jamii imeaswa kuhakikisha kuwa wanatumia vinywaji vya asili ambavyo havina kemikali Kali ili kuweza kutunza king...
Read More

DC Arumeru atoa wito kwa wakulima kuachana na kilimo cha mazoea

  Bwana shamba kutoka kampuni ya Bayer crop Mussa Bakari akitoa elimu kwa wakulima kutoka kata ya Sambasha wilayani Arumeru mkoani Arusha w...
Read More

Watendaji Wa Uchaguzi Wakumbushwa Kushirikiana Na Wanahabari.

  Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena Rwebangira amewakumbusha watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Mkoa na Jimbo kushirikiana...
Read More

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano...
Read More