TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAWATAKA WARATIBU, WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KUZINGATIA MAELEKEZO, KUACHA MAZOEA

Mkurugenzi wa uchaguzi INEC Ramadhan Kairima alisema jumla ya washiriki 165 kutoka Halmashauri 24 za Mikoa mitatu wanapatiwa mafunzo hayo yenye ujuzi.

Mmoja wa washiriki, msimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Mvomero Mery Kayowa alisema wao kama wasimamizi Wana matarajio ya kutekeleza maelekezo na miongozo ya kuwawezesha kusimamia misingi inayotarajiwa ya haki na uhuru chini ya Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.

Kayowa alisema imani yao, ushiriki wa kila mdau katika dhana nzima ya Uchaguzi ni haki y msingi na hiyo itaondoa dhana tofauti kwa sababu kila mmoja ana hali ya kushiriki na kutoa maoni yake.

Lengo la mafunzo hayo ni kuwakumbusha masuala muhimu kuhusiana na usimamizi, uratibu na uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

 Halmashauri 24 za Mikoa mitatu wanapatiwa mafunzo hayo yenye ujuzi.

Mmoja wa washiriki, msimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Mvomero Mery Kayowa alisema wao kama wasimamizi Wana matarajio ya kutekeleza maelekezo na miongozo ya kuwawezesha kusimamia misingi inayotarajiwa ya haki na uhuru chini ya Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.

Kayowa alisema imani yao, ushiriki wa kila mdau katika dhana nzima ya Uchaguzi ni haki y msingi na hiyo itaondoa dhana tofauti kwa sababu kila mmoja ana hali ya kushiriki na kutoa maoni yake.

Lengo la mafunzo hayo ni kuwakumbusha masuala muhimu kuhusiana na usimamizi, uratibu na uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Post a Comment

0 Comments