NABII RABIEL KUFANYA MAOMBI YA TAIFA Woinde Shizza Saturday, August 30, 2025 Add Comment Nabii Rabiel Akyoo wa Kanisa la Ukombozi akiongea na waandishi wa habari Na Woinde Shizza Arusha Arusha Nabii Rabiel Akyoo wa Kanisa la... Read More
CPA. MAKALLA AINGIA ARUSHA KWA KISHINDO Woinde Shizza Friday, August 29, 2025 Add Comment Mkuu wa mkoa wa Arusha CPA.Amos Makalla akipokelewa Leo alipowasili ofisini kwake Wananchi wa Mkoa wa Arusha wametakiwa kuendelea kulinda ... Read More
*CAG AFANYA ZIARA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO Woinde Shizza Friday, August 29, 2025 Add Comment Na Hamis Dambaya, Ngorongoro. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Charles Kichere ametoa wito kwa watumishi wa Mamlaka ya... Read More
NASARI AREJESHA FOMU YA UBUNGE ARUMERU MAGHARIBI, AWAHIDI WANANCHI MAENDELEO Woinde Shizza Wednesday, August 27, 2025 Add Comment NASARI AREJESHA FOMU YA UBUNGE ARUMERU MAGHARIBI, AWAHIDI WANANCHI MAENDELEO Mgombea ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi Joshua Nasari akire... Read More
SIMON SONGE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BUSEGAKUPITIA CCM Woinde Shizza Wednesday, August 27, 2025 Add Comment Mbunge wa Jimbo la Busega, Simon Songe ameibua matumaini mapya kwa wananchi wa jimbo hilo baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombe... Read More
BLUE SKY NA UPENDO WAHITIMISHA DARASA LA SABA, WASISITIZA ELIMU NA MAADILI Woinde Shizza Tuesday, August 26, 2025 Add Comment Afisa Masoko wa shule ya Blue sky pamoja upendo Erastus Majogoro akiongea na waandishi wa habari juu ya huduma wanazotoa shuleni apo Na W... Read More
LUKUMAY AWAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKIANA NA MBUNGE ATAKAYECHAGULIWA NA KUACHANA NA MAKUNDI Woinde Shizza Monday, August 25, 2025 Add Comment Aliyekuwa mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elias Lukumay akifanyiwa maombi na viongozi ... Read More
KIHONGOSI ASISITIZA ELIMU YA KITAALAMU KWA VIJANA KATIKA TAMASHA LA SAMIA CONNECT Woinde Shizza Thursday, August 21, 2025 Add Comment Na Woinde Shizza, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi, aliwataka vijana hususani walioko katika sekta ya utalii kuzingatia... Read More
JUMA RAIBU ATEULIWA KUWANIA UDIWANI KATA YA BOMAMBUZI Woinde Shizza Saturday, August 16, 2025 Add Comment Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua tena Juma Raibu kugombea nafasi ya udiwani katika Kata ya Bomambuzi, Manispaa ya Moshi, katika uchaguzi ... Read More
ZUBERY MWINYI WA CUF ATANGAZA AJENDA YA KUINUA VIJANA WASIO NA AJIRA Woinde Shizza Friday, August 15, 2025 Add Comment Na Woinde Shizza , Arusha Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Zubery Mwinyi, amechukua rasmi fom... Read More
CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UDIWANI ARUSHA MJINI DOGO JANJA YUMO Woinde Shizza Friday, August 15, 2025 Add Comment Na Woinde Shizza,Arusha CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetangaza rasmi majina ya wagombea wake wa nafasi za udiwani kwa Jimbo ... Read More
RAIS WA CHAMA CHA MAHAKIMU NA MAJAJI: “ASASI ZA KIRAIA NI NGUZO YA HAKI NA UWAJIBIKAJI” Woinde Shizza Tuesday, August 12, 2025 Add Comment Wakichangia mjadala huo, baadhi ya wakurugenzi wa asasi ya kiraia walisema kuongezeka kwa matukio ya ukatili kunachangiwa pia na kuachiwa ... Read More
RC KIHONGOSI ATOA WITO WA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU Woinde Shizza Tuesday, August 12, 2025 Add Comment Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Laban Kihongosi leo Agosti 08, 2025 wakati akizungumza na Maelfu ya wananchi waliohudhuria Sikukuu ya W... Read More
WAFANYABIASHARA WA MTANDAONI WAOMBWA KUJISAJILI KUEPUKA MKONO WA SHERIA Woinde Shizza Tuesday, August 12, 2025 Add Comment Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Kampeni ya Elimu ya Kodi kwa Biashara za Mtandaoni kwa lengo la kuhakikisha kila anayehusika n... Read More
UDP yatangaza wagombea wa urais Tanzania Bara na Zanzibar Woinde Shizza Tuesday, August 12, 2025 Add Comment Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha UDP, Saumu Rashid, akiwa na Mgombea mwenzi wa , Salim, Juma Kha... Read More
UCHAGUZI MKUU: BLOGA WAONYWA KUHESHIMU SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA Woinde Shizza Tuesday, August 12, 2025 Add Comment DAR ES SALAAM– Waandishi wa habari na mabloga wametakiwa kuelimisha jamii kuhusu sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi, ili kuzuia uvunjifu wa... Read More